Danford W.S MPUMILWA |
|||||||||||||||||
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
||||||||||||||
| Njombe trip | |||||||||||||||||
Topical Topics 16 January 2012 Dear readers Hizi ni picha chache
za safari yangu kwenda Njombe kuhiji kijijini Ilembula. Kama unavyoona
safari yoyote ile ina vituko vyake na maudhui mbalimbali ya barabarani
na jumuiani. |
|||||||||||||||||
Hapa ni kuelekea Bonde la Ruaha kutoka Mikumi. Mambo ndiyo hivyo tena kuna gari limepinduka na kuzuia njia
Hata inyeshe ya mawe nimeamua mambo yote ni 'Njobne leo'
Nikiwa nafuata ulanzi Mtwango mbele ya Makambako nakutana na Bibi huyu Semhanja na mjukuu wake wakitoka kwenye 'kilimo kwanza'. Mjukuu hajasahau mboga mfukoni.
Hapa
ndio kwenye Ikulu yangu Ilembula - Mtu kwao! Nimefika salama. |
Pamoja na hayo Mikumi wanyama walijitokeza kwa wingi kunikartibisha
Madereva hao wana vichaa mlima wa mbele ya Mafinga
Nimekaribia Njombe sehemu za kibena nikavutiwa na shamba hili la chai. Naomba Mungu anijalie na mimi nije kuwa na shamba kama hili. |
||||||||||||||||
Powered
by : www.annawebdesign.com |
|||||||||||||||||